Psalms 41:6-7


6 aKila anapokuja mtu kunitazama,
huzungumza uongo,
huku moyo wake hukusanya masingizio;
kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko.


7 bAdui zangu wote hunong’onezana dhidi yangu,
hao huniwazia mabaya sana, wakisema,
Copyright information for SwhKC